Bibi mwenye umri wa miaka 70, ambaye jina lake bado halijajulikana amefariki dunia, kwa kusombwa na maji ya Mto Mkondoa.
Mkemia Mkuu wa Serikali,Dk.Fifelis Mafumuko akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma. MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imewekeza zaidi ya Sh. Bilioni 32.25 kwa ajili ya ununuzi wa ...
Simba imeondoka na pointi tatu muhimu baada ya kuifunga Singida Black Stars katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara ...
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi nchini (TDPC), imetoa elimu kwa wanachama wa Jumuiya ya Wasioona Tanzania (TAB) ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha elimu ya ulinzi wa taarifa binafsi inawafiki ...
Shirika la Weka Mazingira Safi (WEMASA), limetoa elimu ya mazingira kwa waandishi wa habari wanawake kuwajengea uwezo kuripoti habari za mazingira. Katika mafunzo hayo imebainika moshi utokanao na uch ...
KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi, amesema CCM ipo tayari kusaidia ...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu katika makazi yake ya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo, Machi 11, 2026. Mtoto huyo alitelekezwa awali ka ...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imejipanga kuendelea kutoa elimu kwa wakulima mbalimbali nchini ili kudhibiti uuzaji holela wa mazao katika maeneo ya mipakani. Mamlaka hiyo ...
Serikali ipo katika hatua za kukamilisha mazungumzo kuhusu utekelezaji wa mradi wa uchakataji na usindikaji wa gesi asilia kuwa kimiminika (LNG) unaotarajiwa kugharimu takribani dola za Marekani bilio ...
WAZIRIwa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum Zanzibar Idrisa Kitwana Mustafa amesema ...
WAZIRI wa Kilimo, Maliasili, Umwagiliaji na Mifugo Zanzibar, Suleiman Masoud, amesema bado wananchi wengi wa Zanzibar hawana utamaduni wa kunywa maziwa ya ng’ombe, licha ya uwepo wa mahitaji makubwa y ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results