Mke wa zamani wa hayati Nelson Mandela, anataka watoto wake wapewe nyumba ya marehemu iliyoko kijijini Qunu. Hatua hiyo huenda ikazua mgogoro wa kwanza wa kisheria kuhusiana na mali ya hayati Mandela ...
Serikali ya Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo, imesema itahamisha mabaki ya mwili wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mobutu Sese Seko kufuatia makubaliano na familia yake . Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya ...
Rais Uhuru Kenyatta ameanzisha rasmi wiki ya maombolezo kwa ajili ya Hayati Mwai Kibaki, baada ya kuongoza hafla ya kuutizama mwili wake katika Majengo ya Bunge. Wananchi wamepewa nafasi ya kuutizama ...
Daktari binafsi wa hayati Michael Jakson, Daktari Conrad Murray amekutwa na hatia ya kosa la mauaji bila kukusudia na mahakama moja mjini Los Angeles Marekani, kutokana na kifo cha mfalme wa pop Juni ...
Kenya inaadhimisha miaka 62 ya uhuru wa kujitawala tangu kujikomboa na ukoloni wa Uingereza. Sherehe hizo zimetoa fursa ya ...
Mvutano huo umeibuka baada ya agizo la rais wa sasa João Lourenço la kutaka kuundwa kwa tume itayoshugulikia mipango ya mazishi ya mtangulizi wake jijini Luanda. Agizo hilo la rais Lourenco ...
Usiku wa kuamkia tarehe 24 Julai 2020, Rais wa Jamahuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kwa masikitiko makubwa, aliutangazia umma kutokea kwa kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results