Katika ardhi yenye ladha ya bahari na harufu ya historia, Zanzibar patakuwa na mchezo wa haja Jumapili hii: Simba SC ya Tanzania wakikabiliana na wageni waliokuja kushangaza, Stellenbosch FC ya Afrika ...
Simba SC inakaribia kucheza moja ya mechi zake kubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo, mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane ya ...
Yanga itashuka uwanjani Ijumaa ijayo jijini Cairo dhidi ya Al Ahly ya Misri kabla ya Simba nao kushuka siku inayofuata ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...