Maadhimisho ya wiki ya huduma za fedha kitaifa yanatarajiwa kufanyika jijini Tanga Januari 19 hadi 26, 2026. Kwa mujibu wa ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza wiki ya maadhimisho ya miaka 33 tangu kilipopata usajili wa kudumu, ...
Katika kuadhimisha kilele cha miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 12, 1964, Vikosi vya Ulinzi na Usalama visiwani ...
Tarehe 26 mwezi Juni mwaka 2013,ilitimia miaka kumi tangu kufariki kwa mchezaji wa Kimataifa wa Cameroun Marc Vivien Foe, aliye anguka uwanjani wakati wa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FIFA la ...
VIKOSI vya ulinzi na usalama vimeahidi kuilinda amani iliyopo nchini ambayo ni chachu ya kielelezo cha umoja na mshikamano wa ...
Imetimu miaka kumi tangu kufanyika kwa mashambulizi ya mabomu mji wa Kampala ambapo mashabiki waliokuwa wakitazama fainali za kombe la dunia walinaswa katika tanzia hiyo. Mashambulizi hayo ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea ripoti kuhusu Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa ...
Hii leo nchini Rwanda wananchi wa taifa hilo wanaanza maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi na wahutu wenye msimamo wa wastani ambapo inakadiriwa watu milioni ...
Haki ya wanawake kushiriki katika maisha ya kisiasa imesisitizwa katika mikataba kadhaa ya kimataifa, lakini kuibadilisha haki kutoka kwa maandiko hadi kwenye vitendo kunahitaji jitihada zaidi ...
Watu 4 wameuwawa mashariki mwa Myanmar leo baada ya msururu wa mabomu yaliyotegwa kwenye magari kulipuka katika sherehe za maadhimisho ya mwanzo wa mwaka mpya wa Kibuddhi. Taarifa hiyo ni kulingana na ...
Makala haya ya Habari Rafiki inazungumzia kuhusu Maadhimisho siku ya Utepe Mweupe Duniani inayofanyika Machi 15 ya kila mwaka. Hii ni siku ambayo hukumbukwa Wanawake wote Waliofariki Kutokana na Mimba ...