Sanam, mhamiaji kutoka Iran aliyekwenda Marekani zaidi ya muongo mmoja uliopita, alikuwa karibu kuwa raia wa Marekani. Miaka mingi ya makaratasi, vibali, vipimo, na uchunguzi wa usalama, ilimfikisha ...